NTL wanakuwezesha kununua kitu chochote toka London ukiwa Africa unachotakiwa kufanya ni kujaza hio fomu hapo chini na maelekezo unataka nini sisi tutakutumia bei na picha.
Mfano: Nataka unitumie bei ya MERCEDES-BENZ~ A CLASS A140 Classic~5dr Hatchback~Petrol